Album mpya ya @davido ‘A Better Time’ imefikisha wasikilizaji milion 100 kupitia mitandao ya kusikilizia muziki na youtube ndani ya siku tatu tuu
kupitia account yake davido ametoa taarifa hiyo kua kupitia aple music, spotfy, audiomack, boomplay na youtube album yake imefikisha jumla ya wasikilizaji milion 100 na kuwashukuru mashabiki zake huku akiahidi kuendelea kutoa mrejesho wa maendeleo ya album hiyo.
A Better Time ni album aliyoiachia ijumaa ya wiki iliyopita(novemba 13) na ina jumla ya ngoma 17 huku ikiwa imebeba kolabo nyingi za kimataifa.