Album ya Wizkid 'Made In Lagos' Imefanikiwa Kushika Number 2 Chat za Billboard

 



Album ya Wizkid 'Made In Lagos' imefanikiwa kuchumpa hadi namba 2 kwenye chart za album bora duniani, Billboard World Albums Chart.

Album hiyo ilitoka Oktoba 29 mwaka huu ikiwa na jumla ya mikwaju 14 ya nguvu, huku mashavu yakitolewa kwa wasanii kama Burna Boy, H.E.R , Ella Mai, Skepta, Damian Marley na wengine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad