Alichosema Nuh Mziwanda kuhusu watoto wa mjini

 


Najua umeshakutana na neno linaloitwa watoto wa mjini, sasa kupitia EATV & EA Radio Digital, huyu hapa ni msanii wa BongoFleva Nuh Mziwanda ametoa maelezo kuhusu maana halisi ya neno hilo na sifa zake.

 

"Watoto wa mjini wengi hawajasoma wameishia 'form four' darasa la saba na wengine hawajasoma kabisa ila wamejiongeza mjini kuwa na mitikasi ya hapa na pale kuongea na watu halafu pia mtoto wa mjini havimbi huwezi kumiliki vitu kama hujapitia vitu vya utoto wa mjini" amesema Nuh Mziwanda 


Msanii huyo ambaye anatokea pande za Ilala Dar Es Salaam, ameongeza kusema huwezi kumiliki vitu kama hujulikani na watoto wa mjini

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad