Breaking News:Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge



Mgombea Uspika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 Baada ya kupata kura za NDIO asilimia 99.7%, ambapo kati ya kura zote zilizopigwa, kura ya HAPANA ilikuwa moja

Ndugai aliliongoza bunge hilo akiwa spika kwa kipindi cha miaka mitano, ambapo hii leo akmekitetea kiti chake kwa ajili ya kukitumikia kwa miaka mitano mingine.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad