Deus Kaseke amaliza ubishi Chamazi. Yanga yaondoka na pointi zote tatu
0Udaku SpecialNovember 26, 2020
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Yanga kwenye dimba la Chamanzi jijini Dar, ambapo Yanga imeibuka na ushindi wa goli 1-0.