Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa takribani wiki sasa ameonyesha furaha yake baada ya kutua watoto wake wawili kutoka nchini Afrika Kusini ambao alitengana nao kwa takribani miaka miwili sasa.
Diamond alikuwa anatamani sana siku moja watoto wake waje kumsalimia kutokana na yeye kutengana na mama watoto wake Zari.
Baada ya kutua Bongo inaonyesha Diamond amesisimamisha kila kitu ili kulea watoto wake.