Director Hanscana "Nimekoma Kusimamia Wasanii"

 


Director @hanscana_ ni moja kati ya watu ambao hupenda kuongea na mashabiki zake kupitia instagram na kuruhusu mashabiki kumuuliza maswali.

Siku ya jana alitoa nafasi hiyo kwa mashabiki zake kwa mara nyingine tena,shabiki mmoja alimuuliza “Bado Unasimamia Waimbaji Katika Ile Lebo Ya Hanscana Brand” Na jibu la Hanscana lilikua ni “HAPANA NA SIRUDII NIMEKOMA”.

Tunafahamu msanii Marioo ni kati yawasanii waliokuwa wanasimamiwa na Hanscana Brand ila Kwa sasa hawafanyi kazi pamoja. Je ni nini kinamfanya Hanscana kujutia maamuzi ya kusimamia wasanii kwa herufi kubwa?majibu anayo @hanscana_

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad