Dkt Bashiru atoboa siri ya ushindi wa CCM uchaguzi mkuu



Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema kuwa siri kubwa iliyowapa ushindi huo waliyopata katika uchaguzi ni umoja wao.


”Siri kubwa iliyotupa ushindi huu ni umoja wetu, kwa mara ya kwanza Chama chetu kimeingia katika uchaguzi na kumaliza tukiwa wamoja na tukiwa tunaheshimiana na kusimamiana.” amesema Dkt Bashiru


Siasa

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad