Baada ya tetesi kuwa Esma ambaye ni dada wa mwanamuziki Daimond Platinam kuwa amelazwa hatimaye mwenewe amethibitisha tetesi hizo na kumuanika mzazi mwenzie aliyezaa naye mtoto wa kwanza.
Awali ilisemekana Esma yupo hoi amelazwa akiwa ni mjamzito na ameishiwa damu huku wakimlaumu mumewe baada ya video kusambaa akionekana klabu akijiachia na washikaji.
Leo kupitia ukurasa wake wa instagramu ameposti picha akiwa na watoto wake Tahiya na Taraji pamoja na baba mzazi wa Tahiya huku akimshukuru kwa kumuhudumia pindi alipokuwa mgonjwa amelazwa.
Esma akuishia kumshukuru baba Tahiya bali alimshukuru pia mzazi mwenzie Petit man wakuache ambaye amedai kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanmpelekea chipsi kuku huku akitoboa siri kuwa alikua na tatizo la upungufu wa damu na Petit man ndiye aliyejitolea kumnunulia damu.
kupitia instagram ameandika haya;
Asante sana Baba @tahiyaplatnumz kwa mtoto Mzuri mstaraab km babaake pia nakushukuru kwa kuniuguza wewe na familia yako kipindi niko hosptal hoi damu sina ila pia nitakuwa mchoyo wa fadhila pia kumshukuru pia Baba @baby_taraj_wakuache nae ulikuwa ktk kitengo cha kuleta Chips kuku kwa wauguzi usiku pia na kujitolea kuninunulia damu Mungu ni Mwema nimepona NawaThamini leo mpk kesho NAWAPENDA PIA ❤
Nilikuwa najiona km NIHAN KEMAL NA EMIR 😊