Hanscana "Nimeishi na Director Kenny Kwangu Kwa Miaka, Nimemfundisha, Hakujua Chochote, Najivunia"
0Udaku SpecialNovember 16, 2020
Hanscana anasimulia jinsi alivyokutana na Director Kenny na kumnoa hadi kuwa alivyo leo. Anakumbushia pia ugomvi wake na Nisher pamoja na kuelezea jinsi uhasama wa wasanii wakubwa unavyowapa wakati mgumu waongozaji wa video