Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Bunge la 12 halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani kwa kuwa hawajatimiza 12.5% ya wabunge inayotakiwa kwa mujibu wa kanuni. Amesisitiza wabunge wa upinzani walioko bungeni watapata nafasi na hakutokuwa na ubaguzi wala upendeleo
Hongereni wana kamati wa kanda zote
ReplyDeletewakati wa kampeni za kisayansi.
Pia bila kumsahau actionman Dr Bashiru
K.Majaliwa. cmrd Mpogolo n MC Polepole
IT WAS A GREAT TEAMWORK. AS A RESULT
KIPENZI CHETU JPJM KASHIKA HATAMU NA
BUNNGE LETU RANGI INAPENDEZA KAMA
ASHANTU... KIJANIII.!!! Oyeeeee.
Ya Kondya mwahaa...Sandenyi wazelelo.
Eeehhhh, Ndiyo mana Tundu Bovu kaondoka
ReplyDeleteleo kurudia kwao..!!
Anasema anabadilisha kiwanja cha ....
Sasa kamwagia manyanga macho kumchuzi
njia panda.