Kamera Iliyopiga Picha ya Kwanza Duniani Iko Mnadani



KAMERA ya zamani  iliyotengenezwa mwaka 1840 itauzwa kwa pauni 70,000 katika mnada huko  Berksshire, nchini Uingereza.


Kwa ujumla zipo kamera sita za zamani zaidi duniani. Mtengenezaji wa filamu, William Henry Fox Talbot, alitumia kamera hiyo kupiga picha ya kwanza ya filamu duniani.

Kamera hii ni ya kwanza iliyoweza kurekodi picha za kudumu, lakini hivi karibuni ilibadilishwa na hatua nyingine nzuri zaidi. Kamera hii itapigwa mnada huko Flints.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad