Lissu Aondoka nchini, Atoa Kauli Hii


ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameondoka nchini Tanzania na kuelekea nchini Ubelgiji leo Jumanne, Novemba 10, 2020 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

Ikumbukwe kuwa, tangu Novemba 2, mwaka huu, Lissu alikuwa akiishi katika Ubalozi wa Ujerumani kwa madai kuwa hakuwa salama nyumbani kwake.

Akiwa katika Uwanja huo, Lissu amesema “Sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ama Kweli, mgonjwa ni mgonjwa.

    Sasa huyu laisi wa mitandaoni, alimwingiza pabaya mgombea mwenza na genge lote la uhaasishaji wa Vurugu nchini huku yeye akisepa kiulaini na
    kuwawacha wenzake kwenye mataa.

    Japo, kama inavyo semekaa kujivua na kuludisha kadi ya make ne.

    Ni huyu kibaraka mkazi arudi kwao.
    alitia saini kuwa Rehani mali ardhini.

    Ameondoka na hati ipi ya safari..!!

    ReplyDelete
  2. Ni kweli kavaa balakoa..?

    Mkono w kushoto wa mdada una ujumbe tosha
    kwa wenye kujua.

    Mnajua uswagaji wa mifugo.!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad