List ya Wanamuziki 13 Waliofariki Lakini Bado Wanaingiza Mkwanja Mrefu Kwenye Account zao


Mchezaji wa Mpira wa Kikapu KOBE BRYANT ambaye Alifariki katika ajali ya helikopta Januari 26, 2020 ambayo pia ilichukua maisha ya binti yake wa miaka 13 Gianna na wengine saba Ameingia kwenye orodha ya mwaka ya Forbes ya watu mashuhuri waliokufa wanaopata mapato makubwa kwa mwaka


Orodha hiyo mpya, iliyochapishwa na jarida la forbes Ijumaa iliyopita inaonyesha Bryant alipata dola milioni 20 na Akishika nafasi ya 6 ya sita katika Orodha hiyo kwa mwaka 2020,


Ripoti ya Forbes ilisema bidhaa za Nike zinazohusiana na Bryant ziliuzwa zaidi baada ya kifo chake cha kushangaza na mashabiki pia walinunua nakala 300,000 za wasifu wake


Michael Jackson ambaye Alifariki mwaka 2009 ameendelea kuongoza katika orodha hiyo tena, na mali zake zikizalisha wastani wa dola milioni 48,


Hii ndio Orodha ya Mastaa waliokufa wanaopata mapato makubwa kwa mwaka


1. Michael Jackson - (Mwanamziki) Mapato Dola Milioni $48


2. Dkt. Seuss Seuss (Muigizaji wa Marekani) Mapato Dolla Milioni $33


3. Charles Schulz - (mtaalamu wa katuni) Mapato Dola milioni $32.5


4. Arnold Palmer - Mapato dola milioni $25


5. Elvis Presley - (Mwanamuziki) Mapato Dola milioni $23


6 Kobe Bryant - (Mchezaji mpira wa kikapu) Mapato dola milioni $20


7. Juice WRLD - (Mwanamuziki) Mapato Dolla milioni $15


8. Bob Marley - (Mwanamuziki) Mapato Dola milioni $14


9. John Lennon - (Mwanamuziki) Mapato dola milioni $13


10. Prince - (Mwanamuziki) Mapato Dola milioni $10


11. Freddie Mercury - (Mwanamuziki) Mapato Dola milioni $9


12. George Harrison - (Mwanamuziki) Mapato Dola milioni $8.5


13. Marilyn Monroe - (Muigizaji) Mapato Dola milioni $8


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad