Magufuli "Tunakusudia Kuviboresha Vitambulisho vya Wajasiriamali kwa Kuviongezea Picha"

 


 “Katika miaka mitano ijayo tunakusudia kuviboresha vitambulisho vya Wajasiriamali kwa kuviongezea picha ili Wafanyabiashara wadogo watambulike na kuwawezesha kupata mikopo Bank, lengo ni kufanya wakue kibiashara'' Rais MAGUFULI Akiwa Bungeni

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad