Mambo ya Kufanya ili Usipatwe na Chunusi

 


Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria.


Yatuatayo ndiyo mamabo ya kufanya ili usipate chunusi;

1. Osha taratibu sehemu unayodhani ina chunusi kwa maji safi na sabuni angalau mara mbili kila siku huku ukisugua taratibu, usikwaruze kwa kucha au kitu choichote kigumu.


2. Tumia make-up au vilainisha ngozi visivyo na mafuta mgando


3. Osha nywele zako kila mara na epuka nywele kuziba uso (kwa wenye nywele ndefu).


4. Kula mlo kamili na epuka vyakula vyenye mafuta mengi.


5. Usibinye au kutoboa vipele kwa pini au kitu chenye ncha kali.


6. Epuka kukaa sana juani,mwanga wa asubuhi ni mzuri ili kupata vitamin D


7. Punguza mawazo

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad