Mapozi ya Tafakuri za Kocha wa Simba Jana Kabla na Baada ya Mechi



KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck  jana alinaswa na paparazi wetu akiwa katika mapozi tofauti kabla na baada ya mechi dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga. Amakweli dabi ya watani hao si mchezo na ni mara chake mno ikapita bila kusababisha vibarua vya watu kuota nyasi upande utakozidiwa maarifa. Dabi hiyo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1.




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad