Meneja Sallam SK wa Lebo ya WCB Asema Wako Mbioni Kumtambulisha Msanii Mpya

 


Lebo ya WCB inayoongozwa na @diamondplatnumz , kupitia kwa meneja wake @sallam_sk Jana ametangaza kumsaini msanii wao mpya.


Kupitia mkutano aliofanya na waandishi wa habari leo, Sallam SK ameweka wazi kuwa hivi karibuni wanatarajia kumsaini msanii wao mpya baada ya Zuchu kufanya vizuri.


Mpaka sasa lebo hiyo ina jumala ya wasanii sita ambao ni @diamondplatnumz , @rayvanny , @queendarleen_ , @mbosso_ , @iamlavalava na @officialzuchu


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad