Mfahamu Ginimbi: Kutoka Umachinga Mpaka Ubilionea

 



Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya biashara hiyo ambayo ilimpa uzoefu mkubwa na kuanzisha kampuni yake mwenyewe ijulikanayo kama Pioneer Gases yenye matawi nchi tatu,Zimbabwe,Botswana na South Africa.


Kampuni ya Pioneer ina supply gas majumbani,kwenye viwanda na wauzaji wadogo wadogo mitaani.


Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.


Ginimbi ana miliki Majumba ya Kifahari yaliyopo Harare,Joz na Gabarone,pia anamiliki collection ya expensive cars RR,Autobiograph Range,Bentely,Lambo,Ferrari etc


Ginimbi amefariki Jana kwa ajili ya gari akiwa anatoka Club Kustarehe na wenzake



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad