Msanii wa Muziki kutoka Nigeria Davido Amebadilisha jina lake (Username) katika Mtandao wa Instagram kutoka jina alilokuwa akilitumia mwanzo yaani davidoofficial na sasa anatumia @davido
@davido amefanikiwa kupata Username ya jina lake baada ya Kushindwa kutumia jina hilo kutokana na kutumiwa na mtu mwingine