Msuva Ajiunga na Wydad Casablanca ya Morocco



Winga wa Tanzania Saimon Msuva ameripotiwa kuwa amejiunga na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne akitokea Difaa El Jadid ya nchini humo.


Wydad Casablanca walifika hatua ya nusu fainali klabu bingwa Afrika msimu huu, na walishika nafasi ya pili katika ligi kuu ya Morocco msimu huu ulioisha.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad