Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Mahera, amesema kuwa wabunge wanawake wa viti maalum wa CHADEMA waliteuliwa kwa kuzingatia taratibu zote kikatiba na kisheria kupitia orodha ya majina ya wanachama waliopendekezwa iliyowasilishwa na Katibu mkuu wa chama hicho kupitia barua yake.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa wabunge wanawake wa viti maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) waliteuliwa kwa kuzinagtia taratibu zote za kikatiba na kisheria kupitia orodha iliyowasilishwa na chama hicho.
Kupitia taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Mahera Charles, ambayo imeeleza kuwa katibu wa Chadema aliwasilisha orodha ya majina ya wanachama wanaopendekezwa kuteuliwa katika nafasi hiyo katika barua yenye kumb. Na.C/HQ/ADM/20/TU/05/141.
Waheshiwa Wabunge wateule mko vizuri
ReplyDeleteHalima,Salome, Matiko,Bulaya na wenzenu
Matamko ya mbowe Msiyatambue wala kuyakubali an deal na kivuli cha moto wa Sheeria na kuchezea sharubu za msajili wa vyama na bunge letu tukufu
chini ya uongozi wa timu of Mwaha Job Yustin.
Ngoma yao na wasanii wao.. wataicheza wao wenyewe.
Waheshimiwa chapeni kazi 2020 - 2025