Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka Tanzania kupitia mpaka wa Namanga.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, Nyalandu ambaye amewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii hakuwa na nyaraka muhimu.
Amesema, Maafisa wa Uhamiaji wamemzuia kuondoka huku baadhi ya vitu alivyotaka kusafirisha vikishikiliwa mwanasiasa huyo ametakiwa kuwasilisha nyaraka husika na atafikishwa Mahakamani endapo atashindwa kufanya hivyo.
Economical refuges, under the pre text of political persecution.ITS A DAYLIGHT LIE. THEY ARE DISTURBED BY MISSING RUZUKU OF THE LOSTCONSTITUENTS SEAT.. Ruzuku Faru JONI DOMAIN.
ReplyDeleteMbona mmechanganyikiwa na mnajishuku
baada ya Watanzania kuwatolea njee
Maandamano na your organised sabotages
Mmoja Hifazi ubalozini / Nyie wengine njia za panya kusepa..!!!
Najua, mnajua kuwa, hii ni kosa la vibeko nyinyi kupewa Dhamana ndiyo mnabuni mbinu mpya za kulipaka matope
Taifa letu ili kujijengeea Genge la desidents who will be inciting and financing violence and Riots from outside . while Salumwalimu mkiwa kamyika wote.
Mhhhh...!!! huyu hata mvuto wa kisiasa hana.
DeleteAu ndio Kenge katika msafara wa
mamba..??
Potential Economical refugees, under the pre text of political persecution
ReplyDeleteITS A DAYLIGHT LIE. THEY ARE DISTURBED BY MISSING RUZUKU OF THE LOST CONSTITUENTS SEAT.. Ruzuku RUZUKU is A Faru JONI DOMAIN.
Mbona mmechanganyikiwa na mnajishuku
baada ya Watanzania kuwatolea nje
Maandamano na your organised sabotages
Mmoja Hifazi ubalozini / Nyie wengine njia za panya kusepa..!!!
Najua, mnajua kuwa, hii ni kosa la vibeko nyinyi kupewa Dhamana ndiyo mnabuni mbinu mpya za kulipaka matope
Taifa letu ili kujijengeea Genge la desidents who will be inciting and financing violence and Riots from outside . while Salumwalimu mkiwa kamyika wote.
Kigogo Muuza Twiga. Kulikoni..???
ReplyDeleteAzikwa mpakani baada ya kuwa na gari bila makaratasi..??
Isije kua gari la uhalifu/wizi.
Hakikini chasiss na Eng# vituo husika ikiwemo historia yake TRA je muingizaji , ushuru stahiki ulilipiwa?
na kama liliingizwa kinyemela linadaiwa na hatua zingine stahiki zinafatilia ukiwemo umiliki halali.