Nyumba Aliyokulia Marehemu Kobe Bryant Yapigwa Mnada wa Bilioni

 


Nyumba aliyokulia marehemu Kobe Bryant imepigwa mnada na kuuzwa kwa kiasi cha ($810,000) sawa na TSH. Bilioni 1.8


Kwa mujibu wa TMZ Sports, nyumba hiyo iliyopo mjini Pennsylvania iliwekwa sokoni mwezi Septemba kwa dau lililofikia ($899,000) ikiwa na vyumba vitano vya kulala, mabafu matatu pia goli la kikapu ambalo Kobe alilitumia utotoni mwake kujifua hadi kuwa mkali wa muda wote kwenye mchezo wa Kikapu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad