Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa yeye ndiye mshindi wa kweli wa uchaguzi wa urais wa Novemba 3,
"Tunapaswa kurudisha uchaguzi huu nyuma. Tunachohitaji ni majaji ambao wanatusikiliza vizuri."
Trump alitoa matamko hayo kwa njia ya simu katika kikao kilichofanyika juu ya madai ya "kasoro za uchaguzi" katika bunge la jimbo la Pennsylvania.
Donald Trump,
"Hatukutendewa haki katika majimbo yote muhimu. Katika uchaguzi huu, kulikuwa na ufisadi mwingi."
Akisisitiza kuwa mchakato wa uchaguzi bado haujaisha na ikiwa kura zinazotumiwa kisheria zitahesabiwa, itafichuliwa kuwa wao ndio washindi.
"Wanademokrat walipoteza uchaguzi huu. Walidanganya katika uchaguzi." aliongeza
"Tunapaswa kurudisha uchaguzi huu nyuma. Tunachohitaji ni majaji ambao watatusikiliza vizuri."