Shilole leo amekumbushiwa na wana habari kuhusu baadhi ya wasanii waliomuahidi vitu mbalimbali siku ya harusi yake na Uchebe ambapo Jux aliahidi kuwasomesha watoto wake @diamondplatnumz aliahidi kuitangaza bidhaa ya Shishi Chil huku @harmonize_tz aliahidi kumzawadia gari aina ya Noah .
@officialshilole ameweka wazi kuwa @harmonize_tz alishamlipaga ila bado @diamondplatnumz na @juma_jux