Shirikisho la soka Afrika CAF leo limepanga ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Simba SC imepangwa kucheza dhidi ya Plateau United ya Nigeria.
Simba kama ataitoa Plateu atacheza na mshindi wa game ya Costa do sol ya Msumbiji vs Platnum ya Zimbabwe katika hatua inayofuatia.
Mechi nyingine ni hizi hapa
CS Sfaxien 🇹🇳 x Mlandege FC
Costa do Sol 🇲🇿 x 🇿🇼 FC Platinum
Simba SC 🇹🇿 x 🇳🇬 Plateau United
Al Hilal Club 🇸🇩 x 🇺🇬 Vipers SC
FC Nouadhibou 🇲🇷 x 🇬🇠Asante Kotoko
Buffles FC 🇧🇯 x 🇩🇿 MC Algers
Enyimba FC 🇳🇬 x 🇧🇫 Rahimo FC
AS Otohô 🇨🇬 x 🇸🇩 Al Merrikh
CR Belouizdad 🇩🇿 x 🇱🇾 Al-Nasr SC