Stendi Mpya Mbezi Kuanza Kutumika Nov. 30



MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge,   amesema ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani ya na nchi za nje ya Mbezi-Luis  jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 90 na itaanza majaribio ya kuanza kufanya kazi  Novemba 25 mwaka huu.

Ametoa wito kwa wananchi kwa jumla na wafanyabiashara kuchangamkia fursa zinazopatikana kwenye stendi hiyo zikiwemo fremu za maduka, migahawa, ofisi, huduma za kifedha, supermarket, ofisi za kukata tiketi na hoteli ambapo zoezi la kutuma maombi limeanza leo Novemba 9 na litaendeleo hadi  Novemba 25 mwaka huu

Aidha ameongeza kwamba uwezo wa stendi utafungua fursa za maendeleo kwa wakazi wa eneo la Ubungo, hivyo amewataka kujiandaa kwa hilo.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Kunenge kusimamia/kutekeleza agizo la Mh Rais JPJM.

    Mungu awabariki.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad