Unaambiwa Pogba Hana Furaha Man United

 


Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps amesema kuwa anaamini kuwa kiungo wa Ufaransa Paul Pogba (27) kwa sasa hana furaha katika klabu ya Manchester United.


“Paul (Pogba) namuelewa vizuri na anawaelewa vizuri wenzake, (Paul) yupo katika hali ambayo hawezi kuwa na furaha katika klabu yake, wala sio kwa sababu ya nafasi anayocheza au muda anaopata wa kucheza”


“Hayupo katika kipindi kizuri amekuwa na mfululizo wa matukio ya majeruhi na kupata Corona ambayo ilimuumiza sana anahitaji kurudisha hali” Deschamps VIA Sport Witness

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad