Kutokana na ngoma ya WAAH ya msanii Diamond Platnumz kuendelea kufanya vizuri, Mama mzazi wa msanii huyo mama Dangote kupitia ukurasa wake wa instgram amemuomba Diamond kumuachia Rayvanny naye akae namba moja katika trending ya YouTUBE na kumwambia asimkazie sana.
VIDEO: