Leo Disemba 5 mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu wake Ikulu jijini Dodoma.
Ifuatayo ni orodha ya Manaibu Waziri 23 aliowatangaza:
1. Wizara ya Fedha na Mipango- Mwanaidi Ali Hamis
2. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi- Dkt.Angelina Mabula
3. Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana na Ajira- Katambi Pascal Patrobas
4. Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi- Hamis Hamza Hamis
5. Wizara ya Viwanda na Biashara - Kigahe Exaud Silaoneka
6. Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia- Kipanga Juma Omary
7. Ofisi ya Rais TAMISEMI- Dkt Festo John Lugange
8. Wizara ya Nishati- Byabato Stephen Mjwahuka
9. Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala bora- Ndejembi Deogratias John
10. Wizara ya Mawasiliano na Telnolojia ya habari-Mhandisi Kundo Andrea Mathew
11. Wizara ya Mifugo na Uvuvi- Gekul Pauline Philipo
12. Wizara ya Madini- Ndulane Francis Kumba
13. Wizara ya Ujenzi - Mhandisi Msongwe Godfrey Kasekenya
14.Wizara ya Ofisi ya Waziri mkuu wenye Ulemavu-Ummy Hamis Nderiananga @Ummy Ndeliananga
15. Wizara ya Maji- Mhandisi Maryprisca Wilfred Mahundi
16. Wizara ya Habari, Umaduni, Sanaa na Michezo- Abdalah Ulega
17. Wizara ya TAMISEMI- Silinde David Ernest
18. Wizara ya Kilimo- Husein M.Bashe
19. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, wazee na watoto Dkt Godwin Molel @Dr Godwin Oloyce Mollel
20. Katiba na Sheria Pinda Geofrey Mizengo
21. Wizara ya Muungano na Mazingira-Mwita Waitara
22. Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki-William Tate Ole Masha
23. Wizara ya Maliasili na Utalii - Mary Francis Masanja