WIMBO WANGU WA KWANZA NILIUTOA MWAKA 2007
WIMBO WANGU WA MWISHO NINAUTOA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA!!! NA HUU NDIYO UTAKUWA WIMBO WANGU WA MWISHO!!🙏
ASANTENI KWA KUWA NAMI NA KUNI-SUPPORT KWA KIPINDI CHOTE CHA MIAKA 13 NILIYOWAHUDUMIA KWENYE SANAA HII YA MUZIKI!!
❤️❤️🙏❤️❤️