Web

Mfahamu Andre Stander Polisi Mpelelezi Nchini Afrika Kusini Aliyefanya Kazi ya Upelelezi na Ujambazi Wakati Huo Huo

 


Wapo Wahalifu wengi lakini Afrika Kusini haiwezi kumsahau Andre Stander ambae alikuwa Askari Mpelelezi na wakati huohuo alikuwa Jambazi.

Muda mwingine alitumia muda wa mapumziko ya mchana kazini na kuaga anaenda kula lunch kisha anaenda kufanya uvamizi Bank akiwa amevaa mask usoni na kuiba pesa kisha anarudi Ofisini na baadaye anarudi tena Bank kama Polisi Mpelelezi akichunguza wizi alioufanya bila Watu kujua.

Baaadaye walimuotea na alifunguliwa kesi za kuiba pesa kwenye Bank zaidi ya 20, aliwahi kufungwa na akatoroka Gerezani, aliuawa February 13,1984 kwa kupigwa risasi na Polisi wakati akijaribu kuwakimbia.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad