Mino Raiola: Paul Pogba hana raha na uwepo wake Manchester United




 Wakala wa Mchezaji wa Manchester United Paul Pogba Mino Raiola amesema Mchezaji huyo hana raha na uwepo wake Manchester United, ameiambia Tuttosport ya Italia.
“Pogba inabidi abadili timu, abadili upepo, ana mkataba unaoisha ndani ya mwaka na nusu lakini naamini ufumbuzi sahihi kwa pande zote mbili ni kumuuza kwenye dirisha lijalo”

Pogba ambae alijiunga na Manchester United August 2016 kwa ada ya USD milioni 120 akitokea Juventus, amefunga goli lake la kwanza kwenye msimu huu jumamosi vs West Ham.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad