Afisa Mwandamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC), Dkt. Analace Kamala, amesema Minyoo inaweze kusababisha madhara mbalimbali ikiwemo matatizo ya akili
Amesema, Minyoo inapojenga himaya ndani ya mwili wa binadamu huenda kuathiri mifumo mingine ikiwamo ya Hewa, Damu na Fahamu
Ameongeza kuwa, madhara mengine ni ukuaji hafifu kwa Watoto, upungufu wa Damu, kupungua uzito na kupata magonjwa yanayohusiana na Ini pamoja na Nyongo