Jibu La Msanii @younglunya Kuhusu Msanii @iambenpol Kupaka Rangi Kucha
@jonijooo : “Hivi Kwako Uliipokeaje Kuona Ben Pol Amepaka Rangi Kucha Zake?”
@younglunya : “Ni sawa unajua Ben Pol Ni Msanii Kwahiyo Kwa Sasa Maisha Yake Ni Sanaa, Kuna Wanaume Wengi Wanapaka Rangi Ila Hawasemwi Kwa Sababu Hawajulikani, Muacheni Ben Pol Apake Rangi”