Fahamu Kuhusu Ugonjwa wa Hyperdontia, Ambao Husababisha Utoaji Meno Pasipo Mpangilio

 


#Hyperdontia ni ugonjwa unaosababisha Meno mengi yaote kinywani kwa mfumo usio wa kawaida. Kwa kawaida Mwanadamu huwa na Meno 32 ambayo huitwa ‘Permanent teeth’


Dalili za ugonjwa huu ni kuota Meno pembezoni mwa Meno mengine ambayo huota mtu anapokuwa mkubwa. Aidha, sababu za ugonjwa huu bado haziko wazi japokuwa wengi husema ni ugonjwa wa kurithi


Ugonjwa huu hutibika kutokana na hali ambayo Mgonjwa anayo. Kuna wakati anaweza kushauriwa kung’oa Meno yaliyoongezeka au wengine huyaacha kama sio mengi sana

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad