Ama kweli Duniani wawili wawili, na ukistaajabu ya uchumi wa kati utayaona ya familia iliyojawa na uswahili
Mama dangote Anadai Mzee Abdul sio baba halisi wa diamond, alikataa mimba na kutoa malezi, lakini diamond na watoto wake wanatumia jina lake (Abdul) kila sehemu
Eeehhh Bwana Eeehh, Kopi laiti. kama kopi pesti.
ReplyDeleteAsante bi Sanda ra kuuweka ukweli hazalani.
kwini Dar lini.?? akajipachike kwingine sio wcb labda kwa King Kiba.
Maza ndie anaejua mchezo kampa nani na penati mfungaji ni nani. Goli Goooo
Mama Kaamua kutapika UKWELI.
DeleteHONGELA MAMA KWA UJASILI. NA ESMA NAE SI BOLA UNGE NANIHI...TUMALIZE.
Kumbe TEGESHA siyo kwenye madini tu..Hata kina Mama wanaUzoefu wa tegesha.
ReplyDeleteHapo ni sawa kabisaa
ReplyDelete