Lissu "Chadema Haina Mamlaka ya Kisheria Kufungua Kesi ICC"

 


Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefafanua kuwa Chama hicho hakijafungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwasababu hakina Mamlaka ya kufanya hivyo Kisheria


Lissu aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 amesema ni Nchi Wanachama wa mkataba wa Rome pamoja na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC ndio wana mamlaka ya kufungua kesi


Ameeleza, CHADEMA iliwasilisha ushahidi wa matukio ambayo yangeweza kuwa makosa ya ukiukwaji wa #HakiZaBinadamu ambayo yalifanywa dhidi ya Wapinzani


Asema ni juu ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC kuamua ikiwa ushahidi waliowasilisha unakidhi Kifungu cha 7 na 17 cha Sheria ya Roma, inayoelezea aina za uhalifu


#JamiiForums #HumanRights

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huu ndio ukweli wa Uongo aliokuwa akiutumia wakati wa kampen
    amba kwa sasa Lobati Kaigulanyi anautumia Uganda.

    Yote haya ni mafundisho potofu ya Lobati Amsata Damu.

    Yatawashinda Vibaraka.

    Hongereni TCRA na UCC.

    Nchi zetu ziko Salama.Angalieni kwa Tilampu TWITA NA FEZBUKU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad