Kizaa zaa kilizuka katika mtaa wa Mathare jijini Nairobi baada ya wanaume wiwili, kuanza kula nyasi. Wenyeji walifika eneo hilo kwa wingi kuweza kujionea tukio hilo lisilo la kawaida.
Kulingana na wenyeji wa kitongoji hicho ni kua jamaa hao ambao mara kwa mara wamekua wakijihusisha na visa vya ujambazi wamewaangaisha kwa muda, na wamependezwa sana kuwaona wakila nyasi. Mmoja wa mwenyeji katika eneo hilo alisema kuwa, mara kwa mara amekua akipoteza vifaa vidogo vidogo chumbani mwake kwa njia tatanishi asijue nani alikua anajihusisha na swala hilo. Ameweza kuripoti visa hivyo katika kituo cha polisi mtaani humo lakini hakuna yeyote yule ameweza kunaswa na tuhuma hizo za wizi wa mali. Analalama polisi mtaani humo ni kama wanashirikiana na majambazi hao ndiposa ripoti ya wizi inapopigwa haichukuliwa na uzito au hadhi yoyote ile.
Muathiriwa Juma pia naye alilalama kua mara kwa mara wezi huvunja lango kuu kwake nyakati za usiku na kuingia kwake nyakati za usiku na kuiba mali. Aliongeza yakuwa amepoteza mali ya thamani isiyojulikana jambo ambalo limemrudisha nyuma kwa kiwango kikubwa kimaendeleo. Vingi vya visa hivyo analalama kuwa ameviripoti kwa maafisa wa usalama lakini kufikia sasa hakuna yeyote ule amenaswa kuhusiana na matukio hayo. Majambazi hao sugu wanasemekana kuwaangaisha wenyeji wa eneo hilo mara kwa mara. Wengi walisema kuwa wanaogopewa kwa kuwa ikiwa yeyote angaweza kunena kuwahusu kwani wangeweza kumtoa uhai. Wameweza kushtakiwa mara kwa mara lakini wameweza kuwaonga maafisa wa mahakama na kuweza kuwachiliwa kwa wakati mwingi wanapokumbana na mashtaka ya maovu wanayoyatenda.
Aliyeweza kuibiwa alilalama kwamba majambazi hao waliweza kuvamia maskani pake usiku wa manane na kuweza kutoweka na pikipiki mbili alizokuwa amezinunua mwezi mmoja uliopita. Jitihada zake za kuweza kukabiliana na majambazi hao kwa kusaidiwa na majibwa yake makali yaligonga mwamba kwa kuwa wavamizi hao walikua wamejihami kwa bastola. Aliweza kutii maagizo yao kwa kuofiwa kupoteza uhai wake kwa kupigwa risasi, na wezi hao wakaweza kupata nafasi rahisi ya kutoweka na pikipiki hizo. Kulipokucha alielekea kwenye kituo cha polisi kuweza kupiga ripoti katika kituo cha polisi cha Mathare jijini Nairobi bila mafanikio. Mara kwa mara alikitembelea kituo hicho kutaka kujua pahala polisi wameweza kufikisha uchunguzi wao lakini, hamna jipya aliloambiwa ila kupewa ahadi zenye uongo mtupa. Alikata tamaa ya
kutoweza kupata pikipiki hizo lakini rafikiye mmoja aliweza kumpa tumaini kwa kumpa nambari ya madaktari wa miti shamba waliofahamika kama Kiwanga Doctors, walio na uwezo wa kuweza kupata mali iliyoibiwa. Aliweza kukutana na daktari kiwanga na kumweleza kila kitu kilichotokea. Daktari aliweza kumpa ahadi za kuweza kuzirejesha pikipiki hizo. Alikuwa mwenye tabasamu kwa kupata pikipiki hizo kwenye kiwanja kimoja mtaani mathare. Kando yake majambazi hao walikuwa wakila nyasi kama ng’ombe. Polisi waliwasili katika eneo hilo na kuwanasa majambazi hao. Pongezi kwa “Kiwanga doctors”.
Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kutuma barua pepe kwa kiwangadoctors@gmail.com pia waweza kumpigia simu kwa nambari +254 769404965. Daktari kiwanga anatibu magonjwa kama kisonono, kisukari na mengine mengi. Pia huwa wanatatua migogoro ya mapenzi, kurudisha mali iliyo ibiwa na mengine mengi.