Mbwana Samatta Akamatiki, Aston Villa Watajuta Kumuacha, Atundika Tena Leo Bao


Mbwana Samatta azidi kuonesha kiwango chake cha kutundika mabao baada ya leo tena kuifungia timu yake ya Fenerbahçe bao moja kati ya matatu iliyopata leo dhidi ya Kayserispor , Kwa sasa Fenerbahce wanashikilia nafasi ya pili katika ligi ya uturiki ikiwa na point 44 ..Hakika Aston Villa Watajuta

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad