Web

Mchuano Mkali Mtoto wa Zari, Mobeto




DAR : Mambo ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia watoto wa mastaa wawili mahasimu, Zarinah Hassan ‘Zari The Lady’, Latiffah Nasibu ‘Tiffah’ na Hamisa Mobeto, Fantancy Francis ‘Fansy’ kutikisa huko mjini Instagram. Kila mmoja anaonekana kuwa mkali zaidi ya mwenzake kwa namna wanavyopendeza.

 

Watoto hao ambao mama zao ni watu maarufu; Fansy ni wa mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto na Tiffah ni wa mjasiriamali maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

 

Watoto hao wamekuwa wakipambanishwa na baadhi ya mashabiki mitandaoni kutokana na jinsi wazazi wao wanavyotupia picha kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram.

 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad