Nicole Avunja Ukimya VIDEO Iliyosambaa Akishikwa Kiuno na Z Anto

 


Katika mitandao ya kijamii kuna video inasambaa ikimuonyesha msanii wa muziki @z_antoofficial akiwa karibu zaidi na mwanadada @nicolejoyberry .


Mrembo huyo amesema hakuna chochote ambacho kilikuwa kinaendelea kati yake na muimbaji huyo huku akidai kwamba sio rafiki yake wala mpenzi wake.


Hata hivyo wadau wa mambo wamemhoji mrembo huyo anawezaje kushikwa kiuno na mtu ambaye hamjui kama ambavyo anadai.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad