Mtandao haramu wa kuwanyanyasa walemavu na kuwafanya kitega uchumi cha watu fulani ambao sio walemavu wavumbuliwa.
Mtandao huo ambao husimamiwa na mtu mmoja huwatumia walemavu mbalimbali kwenda kuomba mitaani na kisha fedha hizo kukabidhiwa yeye