Album ya @rayvanny 'SOUND FROM AFRICA ' inaendelea kufanya maajabu katika mitandao mbalimbali ya kuuza muziki Duniani .
Mpaka hivi sasa Album hiyo inashika Namba 1 kwenye mtandao wa @itunes nchini Oman 🇴🇲!!
Sound From Africa ni Album ya Kwanza kwa CHUI @rayvanny toka aanze Safari yake ya Muziki, ni inaonesha kuwa Mashabiki zake walikua wanaisubiri kwa hamu Album hiyo Kutokana na mapokezi yake .