Baadhi ya wakazi Chunya wakumbwa na ugonjwa wa kutapika damu, Serikali yafafanua

 


Mbeya. Diwani wa Ifumbo wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya, Weston Mpyila ameiomba Serikali kuwasaidia kupata ufumbuzi kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa ajabu wa wananchi kutapika damu akidai zaidi ya watu 10 wamefariki dunia na zaidi ya 50 ni wagonjwa.


Ameeleza hayo jana jioni  Ijumaa Februari 5, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani halmashauri ya Chunya, kutaka majibu ya Serikali kama inafahamu ugonjwa huo.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Mganga  mkuu Wilaya ya Chunya,  Felista Kisandu  alikiri kuwepo kwa ugonjwa huo na kwamba tayari  timu ya idara ya afya imekwenda katika kata hiyo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad