De Agosto 2 – 6 Namungo FC Kombe la Shirikisho Afrika




Timu ya Namungo imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa jumla ya magoli 6 – 2 dhidi ya Waangola timu ya De Agosto kwenye mchezo wa kwanza wa Michuano ya Kombe la Shirikisho uliyopigwa leo jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo uliyopaswa kupigwa Angola ulivunjiliwa mbali na Shirikisho la soka Afrika CAF, kutokana na baadhi ya wachezaji wa Namungo pamoja na kiongozi mmoja kuarifiwa kuwa na Corona na hivyo kuifanya mechi hiyo kussogezwa mbele na kupigwa Tanzania huku De Agosto wakiwa wenyeji katika mechi ya kwanza. 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad