Kupitia ukurasa wake wa Instagram mjasiriamali Faiza Ally ameweka wazi hisia zake na kusema kuwa anatamani sana kuona msanii wa Bongo Fleva Diamond akirudiana na Hamisa Mobetto.
Faiza Ally ameongea hayo baada ya kumuona mtoto wa Hamisa aliyezaa na Diamond ameenda kumtembelea Baba yake, Faiza Ally aliandika ujumbe huu:-