Harmonize "Wadada Mnaotaka Kutoka na Mimi Mtajichoresha tu"

 


Mzee Baba Rajabu Abdul Kalahari maarufu kama HARMONIZE ameweka ukweli wake kwa wadada wanaotamani kutoka nae kwamba wasitamani kuchepuka nae kwasababu watajichoresha yeye hisia zake zipo kwa Mtoto Winfrida Kajala Masanja.

Kupitia ukarasa wake amepost picha ya kajala pembeni na kuusindikiza na ujumbe unaosomeka hivi 👇👇👇👇

"LIFE TIME PARTNER ♥️ ♥️♥️♥️♥️♥️♥️ Swali kwako Wewe Hapo ....!!!!!! Ishawahi Kukutokea Una fanya Lile Tendo Letu La Siri Na Mtu Alafu Hisia Zako Zikawa Kwa Mwingine Kabisa Na Sio Yule Ulienae Kitandani ...??????? Basi Ndo Nitakavyo Jisikia Siku Niki chepuka ..!!!!!! 😀😀😀😀 #USICHEPUKENAMIMIUTACHOREKA JAMANI KANIPELEKA MBALI ...!!!! Wini Frida 😭 Sio kwa Post hii Ya Saa 11:00

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad