Mwaka 1932-1933 lilitokea janga la njaa hatari sana lililoikumba Ukraine, Janga ilo liliitwa Holodomor.
Kukosekana kwa chakula kulipelekea watu kuanza kulana nyama
wenyewe kwa wenyewe, watu walikufa kama kuku. Watu wengine walikua wakifanya uharifu makusudi na kujipeleka Jela wenyewe wakiamini wakiwa huko Serikali
itawahudumia chakula bure, hali iliyosababisha magereza yote kujaa.
Janga hili la kutisha lilidumu kwa msimu mmoja tu wa mwaka 1932-33 lakini lilisababisha vifo vya watu zaidi milioni 12 katika nchi ya Ukraine.
Sababu kuu za kutokea kwa janga hili la njaa ni ukame pamoja na mazao kushanbuliwa na wadudu (nzige) shambani.
Kila ifikapo mwisho ya mwezi November ya kila mwaka huwa ni siku ya kumbukumbu ya janga hili nchini Ukraine.